VIEW OTHER SITES

Monday

Matokeo Ligi kuu bara

Ligi kuu bara

tan

Oktoba 13
Results
13/10/13
Mgambo JKT
Mbeya City
0:1
13/10/13
Mtibwa Sugar
JKT Oljoro
5:1
13/10/13
Ruvu Shooting
Rhino Rangers
1:0
13/10/13
Azam
JKT Ruvu

MILIONI 138 ZAINGIZWA YANGA IKIANGUKIA PUA

Pambano la Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya wenyeji Azam na Yanga lililochezwa jana Septemba 22 katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam limeingiza sh. 138,188,000.
Watazamaji waliokata tiketi kushuhudia pambano hilo namba 33 la VPL msimu wa 2013/2014 lililomalizika kwa Azam kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 walikuwa 24,020.
Viingilio katika mechi hiyo vilikuwa sh. 5,000, sh. 8,000, sh. 15,000 na sh. 20,000 huku kila klabu ikipata mgawo wa sh. 33,065,409.1 wakati Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) iliyolipwa ni sh. 21,079,525.42.
Mgawo mwingine wa mapato hayo ni asilimia 15 ya uwanja sh. 16,812,919.89, tiketi sh. 5,022,342, gharama za mechi sh. 10,087,751.93, Kamati ya Ligi sh. 10,087,751.93, Mfuko wa Maendeleo ya Mpira wa Miguu (FDF) sh. 5,043,875.97 na Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA) sh. 3,923,014.64.
Mechi iliyopita ya VPL kwenye uwanja huo kati ya Simba na Mbeya City iliingiza sh. 123,971,000.
MECHI YA TOTO, POLISI DOM KUPIGWA J2
Mechi namba 12 ya Ligi Daraja la Kwanza (FDL) kati ya Toto Africans na Polisi Dodoma iliyokuwa ichezwe Jumamosi (Septemba 28 mwaka huu) Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza imesogezwa mbele kwa siku moja.
Timu hizo za kundi C sasa zitapambana Jumapili (Septemba 29 mwaka huu) kwenye uwanja huo huo ili kupisha mechi namba 10 kati ya Pamba na Stand United FC ya Shinyanga itakayochezwa Jumamosi (Septemba 28 mwaka huu).
Mechi nyingine za kundi hilo zitakazochezwa Jumamosi ni Mwadui na Polisi Tabora (Uwanja wa Kambarage, Shinyanga) wakati Kanembwa JKT na Polisi Mara zitacheza kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.
Boniface Wambura Mgoyo
Ofisa Habari
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)

Friday

KIPLAGAT: SSMB HAIKUPEWA 350 MILIONI NA SERIKALI

Mwenyekiti wa chama cha riadha nchini Kenya (AK), Isaiah Kiplagat amemtaka waziri wa michezo nchini humo, Ababu Namwamba kufuatilia kwa umakini kauli yake kufuatia kauli ya waziri huyo kuwa serikali ya Kenya imetoa shilingi milioni 350 kwa bodi ya usimamizi wa viwanja vya michezo (SSMB).

Kiplagat ambaye ni mjumbe wa bodi hiyo amesema kuwa bodi yake imepatiwa shilingi milioni 70 kwa ajili ya ukarabati wa Kipchoge uliopo Eldoret kutoka kwenye milioni 100 ambazo zilitengwa kwa ajili ya vifaa vya michezo.

Kauli ya waziri huyo imeleta mkanganyiko na bodi hiyo kutokana na ukweli kuwa fedha hizo zilikabidhiwa kwa kitengo cha michezo kinachojihusisha na maendeleo ya miundombinu ya michezo chini ya wizara hiyo na si bodi hiyo.

Kiplagat amesema kuwa waziri wa michezo, Namwamba ameshauriwa vibaya kuhusu zilikopelekwa fedha hizo, na kwamba bodi hiyo imepokea fedha za ukarabati wa viwanja na kuendesha taasisi hiyo tu.

Wawili hao wanadaiwa kukwaruzana wakati wa ufunguzi wa shule ya kukuza vipaji ya Lornah Kiplagat iliyopo Iten, huku Kiplagat akidai kuwa hana mawazo mabaya dhidi ya waziri huyo.

"Waziri hajashauriwa vizuri kuhusu kazi za SSMB na ndio maana alizungumza kitu ambacho hakifahamu," alisema.

Aliongeza kuwa, kwa kaulia ya waziri inamaanisha SSMB haikuumia vizuri fedha hizo kitu ambacho si kweli, na kwamba waziri huyo alitakiwa kupewa taarifa sahihi kuhusu uhusiano uliopo baina ya wizara na bodi hiyo.

Kiplagat alimalizia kwa kusema kuwa hausiki na upotevu wa msaada kamati ya olimpiki ya 2004 kwa ajili ya ujenzi wa kiwanja North Rift, lakini pia akimtaka waziri huyo kutatua matatizo kwa njia ya amani na mazungumzo na si kutumia vitisho

Kiplagat vs Namwamba

TUZO ZA MADJ BORA GHANA FEB. 15

The Ghana DJ Awards will finally come off on February 15, at the National Theatre, the organizers Merqury Republic has said.

Originally scheduled to take place in October 2012, the ceremony was cancelled at the very last minute due to what the organizers say ” was due to unforeseeable circumstances”.

The February 15 event will be held “under the theme ‘Rhythm Nation’ and promises to become one of the biggest awards events in Ghana”.

“We thank all the DJs, industry personnel, our fans and the press for bearing with us and supporting the movement through difficult times. It is our promise that things will be better in the coming years”, Chief Executive Officer of Merqury Republic says.

The Ghana DJ Awards is sponsored by Blue Jeans Energy Drink, Fiesta Condoms, Bensung Institute, Stallion Motors and Scratch Studios.

MAZEMBE TAYARI KWA KLABU BINGWA

Klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia Ya Kongo, imemuengia Nii Adgei kwenye kikosi chake kitakachoshiriki michuano ya klabu bingwa barani Afrika.

Nyota huyo wa zamani wa klabu ya Asante Kotoko imeenguliwa huku kukiwa na maswali mengi juu ya uamuzi huo wa klabu yake, lakini pia miamba hiyo ya Kongo na Barani Afrika, imetangaza kikosi chenye nyota 26 kitakachoshiriki michuano ya Afrika mwaka huu huku 3 wakitokea nchini Ghana ambao ni Yaw Farimpong,Richad Kisi Boateng,Gladson Awako na Solomon Asante.


kikosi kamili cha Mazembe mwaka huu kinaundwa na

Goal Keeper
1 Robert Muteba Kidiaba




21 Aime Bakula




22 Ley Matampi




Defender
2 Joel Kimwaki




3 Jean Kasusula




4 Eric Nkulukuta




5 Francis Kasonde




7 Herve Ndonga




16 Stophila Sunzu




17 Hichani Himonde




20 Pamphile Mihayo




33 Patient Mwepu




Midfielder
14 Nathan Sinkala




18 Rainford Kalaba




19 Tresor Salakiaku




23 Tresor Ilunga Kayanda




24 Narcisse Amia Ekanga




25 Patrick Ochan




26 Patrick Ilongo




27 Isaac Kasongo




29 Yannick Tusilu




30 Guy Lusadisu




32 Serge Lofo




Striker
6 Deo Kanda




8 Tresor Mputu




9 Cheibane Traore




10 Given Singuluma




11 Luka Lungu




15 Aly Mbwana Samata




28 Thomas Ulimwengu




31 Eric Bokanga




UNITED KUMSAJILI MGHANA

Klabu ya Manchester United imemchukua nyota wa Ghana na klabu ya Leicester City, Jeff Schlupp kwa majaribio wakiwa na lengo la kumsajili kwa mkataba wa kudumu endapo atafudhu majaribio hayo.

Schlupp, 20, ambaye hucheza nafasi ya ushambuliaji amekuwa kwenye mazoezi uwanja wa Carrington akiwa na ruhusa kutoka kwenye klabu yake, ambayo imekuwa na mahusiano ya karibu na United na mara kadhaa imekuwa ikichukua wachezaji kwa mkopo kutoka Manchester United.

Schlupp si mchezaji mwenye uzoefu hata kwenye ligi daraja la kwanza kwani mara ya mwisho kuchezea kikosi cha kwanza ilikuwa mwezi Novemba mwaka jana. Miongoni mwa vitu vilivyoivutia klabu hiyo ni uwezo wake wa kucheza kama mshambuliaji wa pembeni lakini pia kama beki wa kushoto kwenye klabu yake.

Zao hilo la kituo cha kukuza vipaji cha Leicester City kabla ya kuibuka msimu uliopita kwenye kikosi cha kwanza pia alicheza kwa mkopo klabu ya Brentford 2010-2011, huku akiifungia klabu yake mabao matatu (hat-trick) katika mchezo wake wa kwanza wa ligi daraja la kwanza akiwa na Leicetser dhidi ya Rotherham United katika kombe la ligi.

Mbali na kuwa uraia wa Ghana lakini ametumikia kikosi cha vijana cha Ujerumani, akiwa mzaliwa wa Hamburg kabla ya kuelekea nchini Uingereza akiwa bado mdogo kwa sasa ana mkataba na klabu yake unaombakisha hadi 2015.


Date of birth 23 December 1992 (age 20)
Place of birth Hamburg, Germany
Height 1.81 m (5 ft 11 12 in)
Playing position Forward / Left winger / Left back
Club information
Current club Leicester City
Number 18
Youth career
2005–2010 Leicester City
Senior career*
Years Team Apps (Gls)
2010– Leicester City 27 (2)
2011 Brentford (loan) 9 (6)
National team
2010 Germany U19

2011 Ghana 1 (0)

MWISHO WA KUCHUKUA FOMU TFF LEO


Thursday

UHISPANIA YAENDELEA KUONGOZA DUNIA SOKA

Jan 2013
RnkTeamPts+/- Pos
1 Spain16060Equal
2 Germany14370Equal
3 Argentina12900Equal
4 Italy11650Equal
5 Colombia11640Equal
6 England11510Equal
7 Portugal11440Equal
8 Netherlands11240Equal
9 Russia10700Equal
10 Croatia10640Equal
11 Greece10330Equal
12 Ecuador10071Up
13 Switzerland1004-1Down
14 Côte d'Ivoire9960Equal
15 Mexico9940Equal
16 Uruguay9750Equal
17 France9490Equal
18 Brazil9460Equal
19 Sweden8701Up
20 Belgium8681Up











BARANI AFRIKA































141 Côte d'Ivoire9960Equal
222 Algeria829-3Down
253 Mali8070Equal
264 Ghana7884Up
395 Zambia646-5Down
476 Libya5917Up
497 Gabon588-7Down
518 Central African Republic5811Up
529 Nigeria5730Equal
5310 Tunisia570-8Down
5411 Egypt566-13Down
6112 Guinea527-1Down
6213 Sierra Leone5260Equal
6714 Cameroon500-6Down
7015 Cape Verde Islands486-1Down
7316 Equatorial Guinea4696Up
7417 Morocco4610Equal
7718 Togo451-6Down
7819 Angola4436Up
7920 Senegal439-2Down










TAIFA STARS YAPANDA NAFASI 6 KUTOKA 132 HADI 126, AFRIKA YA 36 IKIWA NA ALAMA 264.






















































MECHI YA KWANZA YA LEBRON JAMES AKIWA NA CLEVELAND

LeBron James akifunga alama ya 20000 NBA JANA

NBA CIRCLE - Chicago Bulls Vs Toronto Raptors jana

AFCON 1996 AFRIKA KUSINI KUELEKEA AFCON 2013


Group A

Team Pts Pld W D L GF GA GD
 South Africa 6 3 2 0 1 4 1 +3
 Egypt 6 3 2 0 1 4 3 +1
 Cameroon 4 3 1 1 1 5 7 -2
 Angola 1 3 0 1 2 4 6 -2

Group B

Team Pts Pld W D L GF GA GD
 Zambia 7 3 2 1 0 9 1 +8
 Algeria 7 3 2 1 0 4 1 +3
 Sierra Leone 3 3 1 0 2 2 7 -5
 Burkina Faso 0 3 0 0 3 3 9 -6

Group C

Team Pts Pld W D L GF GA GD
 Gabon 3 2 1 0 1 3 2 +1
 Zaire 3 2 1 0 1 2 2 0
 Liberia 3 2 1 0 1 2 3 -1

Group D

Team Pts Pld W D L GF GA GD
 Ghana 9 3 3 0 0 6 1 +5
 Tunisia 4 3 1 1 1 5 4 +1
 Côte d'Ivoire 3 3 1 0 2 2 5 -3
 Mozambique 1 3 0 1 2 1 4 -3
 

Robo fainali
Nusu fainali
Finali

                   

January 27 - Johannesburg    
   


  South Africa  2

January 31 - Johannesburg

  Algeria  1  

  South Africa  3

January 28 - Port Elizabeth

    Ghana  0  

  Ghana  1


February 3 - Johannesburg

  Zaire  0  

  South Africa  2

January 27 - Bloemfontein

    Tunisia  0

  Zambia  3

January 31 - Durban

  Egypt  1  

  Zambia  2 Third place

January 28 - Durban

    Tunisia  4  

  Gabon  1 (1)   Ghana  0



  Tunisia (pen)  1 (4)     Zambia  1




February 3 - Johannesburg


NB:

25 January 1996 Tunisia  3 - 1  Côte d'Ivoire EPRU Stadium, Port Elizabeth
Attendance: 1,000
Referee: Sidi Bekaye Magassa (Mali)
Ben Younes Goal 32'38'
Ben Hassen Goal 48'

M. Traoré Goal 57'

   
20 January 1996 South Africa  1 - 0  Angola Soccer City, Johannesburg
Attendance: 78,000
Referee: Fethi Boucetta (Tunisia)
Williams Goal 57'

20 January 1996 Zambia  5 - 1  Burkina Faso Free State Stadium, Bloemfontein
Attendance: 2,000
Referee: Masayoshi Okada (Japan)
Malitoli Goal 18'
K. Bwalya Goal 24'35'
Lota Goal 44'
J. Bwalya Goal 45'

Y. Traoré Goal 53'
FAINALI ILIKUWA MWENYEJI NA MSHINDI KUNDI B.