VIEW OTHER SITES

Monday

TAARIFA ZA USAJILI BARANI ULAYA


BoboBobo
MSHAMBULIAJI
KWENDAKayserispor
KUTOKACruzeiro
CleytonCleyton
KIUNGO
KWENDAKayserispor
KUTOKAPanathinaikos
Oguzhan Özyakup
KIUNGO
KWENDABeşiktaş
KUTOKAArsenal
Dany Achille Nounkeu Tchounkeu
MLINZI
KWENDAGalatasaray
KUTOKAGaziantepspor
WilliansWillians
KIUNGO
KWENDAUdinese
KUTOKAFlamengo
R. PalacioR. Palacio
MSHAMBULIAJI
KWENDAInter
KUTOKAGenoa
Salih UçanSalih Uçan
KIUNGO
KWENDAFenerbahce
KUTOKABucaspor
RiverolaRiverola
KIUNGO
KWENDABologna
KUTOKABarcelona

CHOLLO NJE NUSU MSIMU


Klabu ya Simba imepata pigo baada ya kuumia kwa beki wake wa kulia,Nassor Masoud ‘Chollo’ ambaye atakuwa nje kwa wiki sita. 
Daktari wa Simba SC, Cossmas Kapinga amesema kuwa beki huyo alifanyiwa vipimo na kubainika kuwa atakuwa nje ya Uwanja kwa wiki sita, jambo litakalomfanya kukosekana hadi michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame. 
Chollo ameumia mfupa wa katikati ya goti, hali iliyowakuta beki wa zamani wa Simba, Mganda Joseph Owino ambaye amehamia Azam FC na kiungo aliyeongeza mkataba hivi karibuni, Uhuru Suleiman ambao walilazimika kuwa nje ya Uwanja kwa msimu mzima. 
“Tofauti yake Chollo na akina Owino ni kidogo sana, yeye (Chollo) haujavunjika wote, lakini wenzake ulivunjika wote, pamoja na yote wiki sita ni nyingi. Anaweza asionekane kanisa uwanjani mwaka huu, kwa sababu hadi apone aanze taratibu, ni mtihani,”alisema Kapinga akizungumzia hali zilizowakuta wachezaji hao.
 Kuumia kwa beki huyo si pigo kwa klabu yake tu, bali hata kwa Taifa Stars, kwani Chollo amekuwa chaguo la kwanza kote huko.