VIEW OTHER SITES

Monday

MECHI YA KIMATAIFA WIKI KESHO

11 September 2012
18:00
Czech Republic
v
Finland
Teplice
18:00
United Arab Emirates
v
Kuwait
Abu Dhabi
20:00
Brazil
v
China
Recife
20:00
Gabon
v
Saudi Arabia

20:30
South Africa
v
Mozambique
Mbombela Stadium
20:30
Republic of Ireland
v
Oman
London
World Cup qualifiers - Asia
12:34
Japan
v
Iraq
Saitama
15:00
Uzbekistan
v
South Korea
Tashkent
16:00
Lebanon
v
Iran
Beirut
18:00
Jordan
v
Australia
Amman
World Cup qualifiers - Ulaya





19:00
Israel
v
Russia
Ramat Gan
19:30
Georgia
v
Spain
Tbilisi
20:30
Austria
v
Germany
Vienna
20:30
San Marino
v
Montenegro
Serravalle
20:30
Serbia
v
Wales
Novi Sad
20:30
Hungary
v
Netherlands
Budapest
20:30
Sweden
v
Kazakhstan
Malmo
20:30
Switzerland
v
Albania
Lucerne
20:45
Greece
v
Lithuania
Piraeus
20:45
Poland
v
Moldova
Wroclaw
20:45
Belgium
v
Croatia
Brussels
20:45
Northern Ireland
v
Luxembourg
Belfast
20:45
Italy
v
Malta
Modena
21:00
France
v
Belarus
Saint-Denis
21:00
England
v
Ukraine
Wembley
21:00
Scotland
v
Macedonia
Glasgow
22:00
Portugal
v
Azerbaijan
Braga
World Cup qualifiers – America Kusini
21:30
Chile
v
Colombia
Santiago De Chile
23:30
Uruguay
v
Ecuador
Montevideo

AKUFFOR vs MORRIS NGAO YA JAMII

Mshambuliaji wa kimataifa wa Simba SC, Mghana Daniel Akuffor amethibitishwa kuwa yuko vizuri kwa mchezo dhidi ya Azam katika Ngao ya Jamii utakaopigwa kesho Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Akuffor aliumia Alhamisi iliyopita baada ya kugongana na mchezaji wa Sofapaka ya Kenya katika eneo la moyo na kusababisha ulimi wa mchezaji huyo kugeuka na kuziba njia ya kupitisha hewa.

Akizungumza na blog hii daktari wa Simba, Cosmas Kapinga, amesema mchezaji wao yuko katika hali ya kawaida ambapo jana aliweza kufanya mazoezi na wenzake.

Kapinga ameongeza kuwa mara baada ya kuzimia uwanjani mchezaji huyo alifanyiwa uchunguzi na hakukuwa na tatizo alilokutwa nalo kutokana na tukio lililotokea uwanjani ni sehemu ya matukio yanayotokea sehemu mbalimbali.

"Hana tatizo lolote, yuko fiti kucheza Jumanne (kesho) na hata kama leo (jana) kungekuwa na mechi angeweza kupangwa," alisema Kapinga.

Pia ameeleza kuwa mchezaji huyo hana historia na kusumbuliwa na moyo na kilichotokea ni hali ya kawaida ambayo ingeweza kumtokea mchezaji yoyote.


Upande wake Akuffour alisema, "Naweza kucheza, namshukuru Mungu nimepona,"

Simba na Azam zitakutana kesho majira ya saa 10:00 jioni katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi ya Bara maarufu kama Ngao ya Jamii huku ligi ikianza rasmi Jumamosi kwa timu zote 14 kushuka viwanjani.

TWEETS ZA NYOTA MBALIMBALI DUNIANI


Morning my friends, after 3 wonderfull days off , now back at work.. I wish a very nice week to everyone.. Full of happiness ;))

Ivory Coast 4 - 2 Senegal ILIVYOKUWA