VIEW OTHER SITES
Thursday
STARS YAWASILI MSUMBIJI KUIKABILI MAMBAS
Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania
“Taifa Stars” kimewasili nchini Msumbiji bila nyota wake watatu wenye majeraha
kwenye mchezo wa marejeano utakaopigwa Jumapili hii.
Msemaji wa shirikisho la soka nchini
(TFF), Boniface Wambura amesema kuwa nyota watakaokosa mchezo huo ni pamoja na
mlinda lango namba mbili, Mwadini Ali, mlinzi Nassoro Said “Chollo” na Waziri
Salum ambao wote wana majeraha huku Chollo akitarajiwa kuwa nje kwa takribani
msimu mzima.
Mchezo huo utapigwa majira ya saa 10
jioni sawa na saa 11 jioni za hapa nchini kwenye uwanja wa Zimpeto uliopo jijini
Maputo nchini humo.
Awali timu hizo zilitoka suluhu ya
1-1 kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam Februari, 29, akielezea
kuelekea mchezo huo kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen amesema, “ Tunahitaji
mmalizaji dhidi ya Msumbiji na natumaini washambuliaji watafanya kazi nzuri
wakati huu tikutaka kupata matokeo mazuri.”
Kikosi hicho kitashuhudia urejeo wa
beki wake, Aggrey Morris ambaye alikosekana kwenye mchezo uliopita dhidi ya
Gambia kutokana na kusimamishwa kwenye mchezo dhidi ya Ivory Coast.
Wengine watakaopatikana ni pamoja na
kiungo Nurdin Bakari na mshambuliaji Thomas Ulimwengu ambao hawakucheza mechi
zilizopita kutokana na majeraha waliyoyapata.
MISIMAMO MAKUNDI YA ULAYA 2012
Group A
| Teams | P | W | D | L | F | A | +/- | Pts |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 2 | 1 | 1 | 0 | 5 | 2 | 3 | 4 | |
| 2 | 1 | 0 | 1 | 3 | 5 | -2 | 3 | |
| 2 | 0 | 2 | 0 | 2 | 2 | 0 | 2 | |
| 2 | 0 | 1 | 1 | 2 | 3 | -1 | 1 |
Group B
| Teams | P | W | D | L | F | A | +/- | Pts |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 2 | 2 | 0 | 0 | 3 | 1 | 2 | 6 | |
| 2 | 1 | 0 | 1 | 3 | 3 | 0 | 3 | |
| 2 | 1 | 0 | 1 | 3 | 3 | 0 | 3 | |
| 2 | 0 | 0 | 2 | 1 | 3 | -2 | 0 |
Group C
| Teams | P | W | D | L | F | A | +/- | Pts |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | 1 | 0 | 0 | 3 | 1 | 2 | 3 | |
| 1 | 0 | 1 | 0 | 1 | 1 | 0 | 1 | |
| 1 | 0 | 1 | 0 | 1 | 1 | 0 | 1 | |
| 1 | 0 | 0 | 1 | 1 | 3 | -2 | 0 |
Group D
| Teams | P | W | D | L | F | A | +/- | Pts |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | 1 | 0 | 0 | 2 | 1 | 1 | 3 | |
| 1 | 0 | 1 | 0 | 1 | 1 | 0 | 1 | |
| 1 | 0 | 1 | 0 | 1 | 1 | 0 | 1 | |
| 1 | 0 | 0 | 1 | 1 | 2 | -1 | 0 |
NB: MISIMAMO HII NI KABLA YA MECHI ZA LEO, ITALIA VS CROATIA ; UHISPANIA vs JAMHURI YA IRELAND
Subscribe to:
Comments (Atom)
