VIEW OTHER SITES

Saturday

MWANARIADHA AGOMEA KAMBI YA OLIMPIKI



KOCHA wa Riadha wa Timu ya Tanzania inayotarajiwa kushiriki mashindano ya Olimpiki London, Julai 27 hadi Agosti 12 mwaka huu, Zakaria Gwandu, ameelezea kusikitishwa na kushangazwa kwa mchezaji Faustine Mussa kutojiunga na wenzake kambini, Mkuza Kibaha.

Akizungumza na Mwandishi wa Habari hizi leo, Gwandu, alisema, wakati timu ikitarajiwa kuondoka nchini Julai 8 mwaka huu, Mussa ambaye ni mwajiriwa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), ndiye pekee hawajatia mguu kambini hapo, jambo linalomweka katika wakati mgumu wa kutekeleza programu zake.

“Kwa kweli sielewi kinachoendelea kuhusiana na mchezaji huyu Faustine Mussa, sijui tatizo ni kwa mchezaji au mwajiriwa wake, kwani barua ya kuombewa ruhusa Chama cha Riadha (RT), kilikwisha ituma kwa mwajiri wake muda mrefu, lakini mchezaji hadi sasa hajatokea kambini,” alilalamika Kocha huyo.

Timu ya riadha itakayoshiriki michezo ya Olimpiki London nchini Uingereza, inaundwa na wachezaji wanne, Zakia Mrisho, Samson Ramadhani, Msenduki Mohamed na Faustine Mussa, ambaye bado hajaripoti kambini.

MATOKEO WIMBLEDON


JUNE 30
RAUNDI YA TATU WANAUME
27-Philipp Kohlschreiber (GER) bt Lukas Rosol (CZE) kwa 6-2 6-3 7-6(6)
Brian Baker (US) kamshinda Benoit Paire (FRA) kwa 6-4 4-6 6-1 6-3


RAUNDI YA TATU WANAWAKE
6-Serena Williams (US) bt 25-Zheng Jie (CHN) 6-7(5) 6-2 9-7 
2-Victoria Azarenka (BLR) bt Jana Cepelova (SLO) 6-3 6-3 
Tamira Paszek (AUT) bt Yanina Wickmayer (BEL) 2-6 7-6(4) 7-5
Yaroslava Shvedova (KAZ) bt 10-Sara Errani (ITA) 6-0 6-4
4-Petra Kvitova (CZE) bt Varvara Lepchenko (US) 6-1 6-0
14-Ana Ivanovic (SRB) bt 22-Julia Goerges (GER) 3-6 6-3 6-4
24-Francesca Schiavone (ITA) bt Klara Zakopalova (CZE) 6-0 6-4 

WIMBLEDON YAZIDI KUSHIKA KASI


WANAWAKE RAUNDI YA NNE
1-Maria Sharapova (Russia) v 15-Sabine Lisicki (Germany)
Kim Clijsters (Belgium) v 8-Angelique Kerber (Germany)

3-Agnieszka Radwanska (Poland) v q-Camila Giorgi (Italy)
Maria Kirilenko (Russia) v 30-Peng Shuai (China)
 
 6-Serena Williams (United States) v w-Yaroslava Shvedova (Kazakhstan)
24-Francesca Schiavone (Italy) v 4-Petra Kvitova (Czech Republic)

Tamira Paszek (Austria) v 21-Roberta Vinci (Italy)
14-Ana Ivanovic (Serbia) v 2-Victoria Azarenka (Belarus)
WANAUME RAUNDI YA NNE
11-Novak Djokovic (Serbia) v Viktor Troicki (Serbia) 
18-Richard Gasquet (France) v 31-Florian Mayer (Germany) 

3-Roger Federer (Switzerland) v Xavier Malisse (Belgium)
Denis Istomin (Uzbekistan) v 26-Mikhail Youzhny (Russia)

RAUNDI YA TATU

7-David Ferrer (Spain) v 30-Andy Roddick (United States
19-Kei Nishikori (Japan) v 9-Juan Martin Del Potro (Argentina)
16-Marin Cilic (Croatia) v Sam Querrey (United States)
Marcos Baghdatis (Cyprus) v 4-Andy Murray (Britain)

5-Jo-Wilfried Tsonga (France) v Lukas Lacko (Slovakia)
David Goffin (Belgium) v 10-Mardy Fish (United States)
q-Brian Baker (United States) v Benoit Paire (France)
27-Philipp Kohlschreiber (Germany) v Lukas Rosol (Czech Republic) 

KOMBE LA SHIRIKISHO: MATOKEO NA RATIBA


30 June 2012
CAF Confederation Cup
Al-Hilal2 - 0Cercle de Bamako
Saturday 30 June 2012

Maghreb de FesvAC Leopards17:00
AFADvWydad Athletic17:00
El MerreikhvBlack Leopards17:00
DjolibavClub Africain17:00
DynamosvInterclube17:00
Stade MalienvCODM Meknes17:00
Coton SportvAhli Shandi17:00

MASHINDANO YA MCHEZO WA DARTS AFRIKA YA MASHARIKI YAZINDULIWA JIJINI MWANZA



MASHINDANO ya Vishale ya Wazi jijini Mwanza yamefunguliwa rasmi leo na Meneja wa Bia ya Safarai Lager kwa niaba ya Waziri wa Utamaduni ,Ajira na Michezo ambaye alipata ajali akielekea kwenye ufunguzi huo.

Akizungumza na wachezaji mejeja alisema Kampuni ya Bia Tanzania(TBL) kupitia bia yake ya Safari Lager imekuwa ikidhamini mashindani ya vishale kwa muda sasa kwa kutambua umuhimu wa mchezo huu kwa wapenzi na mashabikmi kwa ujumla na itaendelea kudhamini mchezo huu katika mashindano mbalimbali ya ndani na yale ya kimataifa ili kuinua mchezo huo.

Shelukindo alisema Darts ni moja ya michezo ambao inatakiwa ipewe kipaumbele kama michezo mingine kama Safari Lager inavyoudhamini mchezo huu unaofanyika katika Hoteli ya Monarch jijini Mwanza kwa siku nne ambapo mashindano hayo ya Afrika Mashariki yanatarajiwa kufikia tamati mwishoni mwa wiki hii kwa kushirikisha nchi nne Tanzania,Kienya , Uganda na Rwanda.

Alusema Shelukindo a kuwa katika mashindano hayo ya Afrika mashariki,TBL kupitia bia yake ya safari imetoa fedha kiasi cha shilingi milioni 32 kwa ajili ya kugharimia mashindano hayo,ambapo pia wametoa medali pamoja na fedha taslimu kwa ajili ya washindi wa kwanza hadi wanne.

Amesema kuwa pamoja na kudhamini mashindano hayo kwa mwaka wa tatu mfululizo TBL pia imetoa vifaa vya kisasa kwa ajili ya kuchezea mchezo huo katika amshindano ya mwaka huu.

’’Pia TBL kupitia bia yake ya safari imeamua kuboresha vifaa vya kuchezea mchezo huo vilivyopo katika ameneo mbalimbali hapa nchini,mara nyingi mchezo huu umekuwa ukifanyika katika mazingira ya baa,hivyo kutoa udhamni ni kurejesha mchango wetu kwa watumiaji wa bia yetu ya safari’’,alisema.

Mwenyekiti wa chama cha darts(TADA)Gesase Waigama aliipongeza kampuni ya bia Tanzania kupitia bia yake ya safari kutokana na kutoa udhamini mnono wa michuano hiyo ya Afrika mashariki mwaka huu.

Waigana alisema kuwa mchezo wa darts unakabiliwa na tatizo la vifaa kuuzwa kwa bei ya juu na ni mara chache kwa mchezaji kuweza kununua vifaa hivyo hivyo udhamni unaotolewa umekuwa ukiwakomboa wachezaji wa mchezo huo.

Mwenyekiti huyo wa TADA alisema kuwa mashindanoi ya mwaka huu yanatarajiw akuwa na ushindani mkubwa toka kwa nchi wanachama wa afrika amshariki kutokana na namna timu hizo zilivyojiandaa mwaka huu.

Pamoja na kuipongeza TBL kutokana na kutoa udhamini huo,Mwenyekiti huyo aliwataka wadhamini wengine kujitokeza kwa wingi kudhamini michuano hiyo katika siku zijazo.

ILALA YAPATA ALAMA YA KWANZA COCA-COLA

Timu ya Pemba Kaskazini imepokea kichapo cha magoli matatu bila majibu mbele ya vijana wa Mkwawa, Iringa kwenye mchezo wa mashindano ya Copa Coca-cola kwa vijana chini ya miaka 17 hii leo kwenye uwanja wa Nyumbu mkoani Pwani.

Magoli ya Iringa yamewekwa kimiani na Goodluck Jonas dakika ya 51, Musa Maginga dakika 67 na Ramadhan Kiwelu dakika ya 70.

Mechi mbili zilizopita Iringa ilipata kichapo cha 3-1 kutoka kwa Mwanza na 3 -0 kutoka kwa Mjini Magharibi, huku, Tabora ilishinda kwa goli mbili bila majibu dhidi ya Shinyanga kwenye uwanja wa kumbukumbu ya Karume jijini Dar es Salaam kupitia kwa Said Juma na ramadhani Mbalamwezi.

Nayo Ilala imeona mwezi hii leo baada ya kutoka suluhu tasa dhidi ya Kusini Pemba kwenye uwanja wa Tanganyika Packers mchezo wa kundi A uliopigwa jijini Dar es Salaam wakati, mjini Kibaha mkoani Pwani kwenye uwanja wa TAMCO, Dodoma ilishinda 1-0 dhidi ya Mtwara.

ANELKA UWANJA LEO DHIDI YA QINGDAO


CHN

Chinese Super League

FT
29/06/12
SHANGHAI SHENXIN
0:0
LIAONING WHOWIN
30/06/12 19:00
DALIAN AERBIN
-
HANGZHOU GREENTOWN
01/07/12 15:30
QINGDAO JONOON
-
SHANGHAI SHENHUA
01/07/12 19:30
GUIZHOU RENHE
-
DALIAN SHIDE
01/07/12 19:35
GUANGZHOU EVERGRANDE
-
BEIJING GUO'AN
01/07/12 19:35
CHANGCHUN YATAI
-
TIANJIN TEDA
01/07/12 19:40
JIANGSU SAINTY
-
GUANGZHOU R&F

Friday

REKODI MATATA ZA ITALIA, UHISPANIA TANGU 1934


2012 UEFA Kombe la Mataifa Ulaya

SikuHatua MechiMatokeoUwanjaWafungaji
10/06/12GS-FTSpain - Italy1-1GdanskFàbregas 64; Di Natale 61

UEFA EURO 2008

Siku HatuaMechiMatokeoUwanjaWafungaji
22/06/08QFSpain - Italy0-0
(4-2pens)
Vienna

FIFA Kombe la Dunia

Siku Hatua MechiMatokeo Uwanja Wafungaji
09/07/94QFItaly - Spain2-1
BostonBaggio 25, Baggio 88; Caminero 58

1988 UEFA Kombe la Mataifa Ulaya

Siku Hatua MechiMatokeo Uwanja Wafungaji
14/06/88GS-FTItaly - Spain1-0
Frankfurt am MainVialli 73

1980 UEFA Kombe la Mataifa Ulaya

Siku Hatua MechiMatokeo Uwanja Wafungaji
12/06/80GS-FTSpain - Italy0-0Milan

FIFA Kombe la Dunia

Siku Hatua MechiMatokeo Uwanja Wafungaji
01/06/34QFItaly - Spain1-0
FlorenceMeazza 11
31/05/34QFItaly - Spain1-1FlorenceFerrari 44; Regueiro 31
NB: UHISPANIA HAJAMFUNGA ITALIA NDANI YA DAKIKA 90 TANGU 1920.