VIEW OTHER SITES

Thursday




Kocha wa timu ya taifa ya JAPAN maarufu kam Blue Samurai, Alberto Zaccheroni ameteua kikosi chenye nyota 12 wanaocheza soka la kulipwa barani ulaya akiwemo mwanandinga wa  Arsenal, Ryo Miyaichi, kwa mchezo wa kufuzu michuano ya kombe la dunia 2014 nchini Brazil utakaopigwa mwezi juni.
Nyota wengine ni pamoja na Shinji Kagawa wa Borussia Dortmung ya Ujerumani na kiungo wa CSKA Moscow, Keisuke Honda ambaye alikuwemo kwenye kikosi kilichoifunga Azerbaijan 2-0 Jumatano juma hili.
Miyaichi (19) amerejea Arsenal baada ya kuwa kwa mkopo klabu ya Bolton Wanderers, akicheza mchezo wa kwanza wa kimataifa akiwa na Japan dhidi ya Azerbaijan na kumvutia kocha wake, muitaliano Zaccheroni kwa uwezo wake.
Japan wataikaribisha Oman Juni 3 kabla ya kucheza na Jordan siku tano baadaye na kasha kuwakabili mabingwa wa mahasimu wao Australia ugenini June 12. Kundi hilo lina timu ya Iraq pia.
Japan squad:
Goalkeepers: Eiji Kawashima (Lierse/BEL), Shusaku Nishikawa (Sanfrecce Hiroshima), Shuichi Gonda (FC Tokyo)
Defenders: Yuichi Komano (Jubilo Iwata), Yasuyuki Konno (Gamba Osaka), Yuzo Kurihara (Yokohama Marinos), Masahiko Inoha (Vissel Kobe), Yuto Nagatomo (Inter Milan/ITA), Tomoaki Makino (Urawa Reds), Atsuto Uchida (Schalke/GER), Maya Yoshida (VVV Venlo/NED), Hiroki Sakai (Kashiwa Reysol)
Midfielders: Yasuhito Endo (Gamba Osaka), Kengo Nakamura (Kawasaki Frontale), Makoto Hasebe (Wolfsburg/GER), Hajime Hosogai (Augsburg/GER), Keisuke Honda (CSKA Moscow/RUS), Hideto Takahashi (FC Tokyo)
Forwards: Ryoichi Maeda (Jubilo Iwata), Shinji Okazaki (Stuttgart/GER), Mike Havenaar (Vitesse Arnhem/NED), Takayuki Morimoto (Novara/ITA), Shinji Kagawa (Borussia Dortmund/GER), Hiroshi Kiyotake (Crezo Osaka), Ryo Miyaichi (Arsenal/ENG)

No comments:

Post a Comment